Hatimaye Spika wa Bunge la Tanzania pale Dodoma atakuwa na makazi rasmi
baada ya ujenzi wa nyumba ya Spika kukamilika na makabidhiano kufanyika.
Nyumba hiyo ambayo ipo maeneo ya
Uzunguni nje kidogo ya Dodoma mjini imegharimu takribani Tshs Billion 1.5
imejengwa na kampuni ya Pacha Building Construction Company. Hii inakuwa
nyumba ya kwanza rasmi ya Spika kwani hapo awali hapakuwahi kuwa na
nyumba rasmi ya Spika.
Mlango wa mbele
Upande wa nyuma wa jengo
Ngazi ndani ya jengo ambalo lina vyumba vinne vya kulala, sehemu ya
mapumziko, sehemu ya chakula, maktaba na jiko Spika akuna kulala tena
hotel wakati kwa vikao vya bunge (picha: Prosper Minja)
No comments:
Post a Comment