Amani Tanzania :Rais Dkt. Jakaya Kikwete Afungua Mkutano wa Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


28 Mar 2015

Amani Tanzania :Rais Dkt. Jakaya Kikwete Afungua Mkutano wa Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam


Rais Dkt.Jakaya mrisho Kikwete akifungua mkutano wa Viongozi wa Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam leo. Baadhi ya viongozi wa madhehebu ya dini mbalimbali wakimsikiliza kwa makini Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete alipokuwa akiwahutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Viongozi wa Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam leo.(picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad