Siasa Zetu : Mhe. Freeman Mbowe Afanya Mkutano wa Baraza la Uongozi wa CHADEMA ,Jijini Arusha - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 14 February 2015

Siasa Zetu : Mhe. Freeman Mbowe Afanya Mkutano wa Baraza la Uongozi wa CHADEMA ,Jijini Arusha

 Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akiwa katika  Mkutano wa Baraza la
Uongozi wa CHADEMA kanda ya Kaskazini unaofanyika katika Hotel ya New
Arusha jijini Arusha kushoto ni Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini na Mbunge
wa Karatu Mchungaji Israel Natse,Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar
Salimu Mwalimu Salimu (wapili kulia)na Katibu wa Kanda ya Kaskazini Amani
Golugwa.
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akifafanua jambo juu ya daftari la
kudumu la wapiga kura katika Mkutano wa Baraza la Uongozi wa CHADEMA kanda
ya Kaskazini unaofanyika katika Hotel ya New Arusha jijini Arusha.

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akiwa katika  Mkutano wa Baraza la
Uongozi wa CHADEMA kanda ya Kaskazini unaofanyika katika Hotel ya New
Arusha jijini Arusha kushoto ni Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini na Mbunge
wa Karatu Mchungaji Israel Natse,Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar
Salimu Mwalimu Salimu (wapili kulia)na Katibu wa Kanda ya Kaskazini Amani
Golugwa.Picha na Ferdinand Shayo

No comments:

Post a Comment