Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka
2014 katika hafla iliyofanyika katika shule ya sekondari Majani ya Chai,
Kipawa jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Ufundi Dkt.Shukuru Kawambwa, na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
Bwana Said Meck Sadik.Picha na Freddy Maro
He is a Tanzanian Journalist , Editor and blogger of Wazalendo 25 Blog which operate since 2006 ; covering International and Local News, including Politics, Sports, Athletics, Events, personalities and positive news happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English Audience.
MCHANGO WA TADB WATAMBULIWA KITAIFA, YAPOKEA TUZO
-
Mhe. Balozi Dkt. Batilda Burian, Mkuu wa Mkoa wa Tanga, ameipongeza Benki
ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwa mchango wake mkubwa katika
kuchagiza m...
No comments:
Post a Comment