Matukio :Ubalozi wa Japan wakutana na Tanesco kuzungumzia Uboreshaji na Ukarabati wa Miundombinu ya Umeme hapa nchini - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 20 February 2015

Matukio :Ubalozi wa Japan wakutana na Tanesco kuzungumzia Uboreshaji na Ukarabati wa Miundombinu ya Umeme hapa nchini



MWAKILISHI Mkazi wa Shirika la JICA nchini Tanzania, Onishi Yasunora akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Felchesm Mramba (kulia) wakati wa mkutano na waandishi wa kuzungumzia maendeleo ya miradi ya kuboresha na kukarabati miundombinu ya umeme hapa nchini. Mkutno huo ulifanyika Dar es Salaam leo. Pamoja nao ni Waziri pia mkuu wa Kazi wa Ubalozi wa Japan hapa Nchini, Kazuyoshi Matsunaga,
MKURUGENZI Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Felchesm Mramba akibadilishana mawasiliano na Waziri pia mkuu wa Kazi wa Ubalozi wa Japan hapa Nchini, Kazuyoshi Matsunaga kabla ya mkutano na wanahabari jijini Dar es Salaam.
MKURUGENZI Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Felchesm Mramba akisalimiana na mmoja wa wadau wa Japan waliohudhuria mkutano na wanahabari uliohusu maendeleo ya miradi ya ukarabati wa miundombinu ya umeme Dar es Salaam .
MKURUGENZI Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Felchesm Mramba akimtambulisha Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji, Mhandisi Sophia Mgonja kwa Mwakilishi Mkazi wa Shirika la JICA, Onishi Yasunora (kushoto) na Waziri pia mkuu wa Kazi wa Ubalozi wa Japan hapa Nchini, Kazuyoshi Matsunaga, wakati wa mkutano na waandishi wa kuzungumzia maendeleo ya miradi ya kuboresha na kukarabati miundombinu ya umeme hapa nchini.
Meneja Mawasiliano wa TANESCO, Leila Mhaji akijitambulisha wakati wa mkutano huo ulifanyika Dar es Salaam .
MKURUGENZI Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Felchesm Mramba akiongea na wadau wa maendeleo kutoka Japan wakati wa mkutano na waandishi wa kuzungumzia maendeleo ya miradi ya kuboresha na kukarabati miundombinu ya umeme hapa nchini. Mkutano huo ulifanyika Dar es Salaam.
Maofisa Mawasiliano wa TANESCO, Neema Mbuja (kulia) na Salama wakifuatilia mkutano huo.
Meneja Mawasiliano wa TANESCO, Leila Mhaji akibadilishana mawazo na wasaidizi wake wakati wa mkutano huo ulifanyika Dar es Salaam.
Waziri pia mkuu wa Kazi wa Ubalozi wa Japan hapa Nchini, Kazuyoshi Matsunaga akifurahia jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Felchesm Mramba (kulia) wakati wa mkutano na waandishi wa kuzungumzia maendeleo ya miradi ya kuboresha na kukarabati miundombinu ya umeme hapa nchini. Mkutno huo ulifanyika Dar es Salaam leo. Pamoja nao ni ni  Kaimu Niabu Mkurugenzi Mtendaji, Mhandisi Sophia mgonja.

MWAKILISHI Mkazi wa Shirika la JICA nchini Tanzania, Onishi Yasunora akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Felchesm Mramba (kulia) wakati wa mkutano na waandishi wa kuzungumzia maendeleo ya miradi ya kuboresha na kukarabati miundombinu ya umeme hapa nchini. Mkutano huo ulifanyika Dar es Salaam leo. Pamoja nao ni Waziri pia mkuu wa Kazi wa Ubalozi wa Japan hapa Nchini, Kazuyoshi Matsunaga,
Waziri pia mkuu wa Kazi wa Ubalozi wa Japan hapa Nchini, Kazuyoshi Matsunaga (wa pili kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Felchesm Mramba (wa pili kulia) na  Mwakilishi Mkazi wa Shirika la JICA nchini Tanzania, Onishi Yasunora wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa miradi ya umeme wakati wa mkutano na waandishi wa kuzungumzia maendeleo ya miradi ya kuboresha na kukarabati miundombinu ya umeme Dar es Salaam leo. Pamoja nao (kulia) ni  Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji, Mhandisi Sophia Mgonja.

No comments:

Post a Comment