Matukio : Taswira Mbali mbali ya Dk. Chris Mauki na Mkewe katika "Pre - Valentines Lovers Dinner Party" Jijini Arusha - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 20 February 2015

Matukio : Taswira Mbali mbali ya Dk. Chris Mauki na Mkewe katika "Pre - Valentines Lovers Dinner Party" Jijini Arusha


 Siku moja kabla ya valentine day tar 13.2.2015 tulipata nafasi ya kushiriki katika Pre-valentine lovers dinner and talk pale New Arusha hotel. Kwakweli ilikuwa poa sana, chakula, mandhari, talk na mahudhurio vyote vilibamba sanaaaa. Shukrani za pekee zimuendee dada nangu Salmka Mnaro wa Ali aliyekuwa injini kubwa katika kubeba maono na kuiandaa shuhuli hii Arusha pamoja na vipingamizi na changamoto tele alizokutana nazo. Picha hizi chache zitakupa picha ya ishu nzima. Endelea

 Hapa muandaaji Salma akifanya ufunguzi na kuelezea nia nzima ya tukio hili


 Salma Mnaro wa Ali akidadavua kidogo kuiweka bayana event hii kwa waalikwa

 Wapendanao wakisikiliza kwa makini

 Dr. Chris Mauki na Mke wake Miriam wakiwa wenye furaha sana kabla ya kusimama kuzungumza

 Salma katika buffe

 Salma na mume wake Ali mwenye shati jeupe wakifuatilia kwa makini talk kutoka kwa Dr. Chris


 Salma akishukuru kwa yote, pembeni yake ni Miriam wa Mauki na MC wa shuhuli


Shuhuli ilienda sawia haswa kwenye maakuli


PICHA ZIFUATAZO NI MATUKIO KABLA NA BAADA YA TUKIO

 Hivi ndivyo ukaribisho ulivyokuwa baada tu ya kukanyaga sakafu za chumba ndani ya Mount Meru Hotel Arusha

 Asubuhi tukiwa tuna check out hotelini kukimbilia uwanja wa ndege wa KIA  kuanza safari ya kurudi Dar ambako maandalizi ya Valentine Lovers Dinner n Talk yalikuwa yakiendelea

 Miriam wa mie akiwa amepozi hotelini

 Kweli milima haikutani, tukiwa kwenye lunch Mount Meru Hotel tukakutana na rafiki yetu wa muda mrefu Salome Pangamawe, tena yeye akiwa ni kiongozi katika hoteli hiyo.

 
Hapa nikikamilisha taratibu za ku cheki in hotelini 

Hii ni view tokea room kwetu hotelini Mount Meru

No comments:

Post a Comment