Mwenyekiti wa muda wa Chama cha Bloggers Tanzania (TBN),
Joachim Mushi (kulia) akikabidhi ubani wa fedha shilingi laki tano
(500,000/=Tshs) jana zilizotolewa kwa mwanahabari wa Kitulo FM kama pole baada
ya kupoteza ndugu watano wa familia moja katika ajali ya moto
iliyotokea hivi karibuni na kuua watu sita eneo la Kipunguni jijini Dar
es Salaam. Katikati ni mmoja wa wajumbe wa TBN, Dotto Mwaibale
aliyeshiriki tukio hilo. TBN ilishiriki katika mazishi ya marehemu hao
sita waliozikwa jana katika makaburi ya Airwing Dar es Salaam. Picha na
Francis Dande.
Mfalme wa Rhymes Kuchukua Mke — Harusi Yafanyika Morogoro
-
*Morogoro, Jumamosi, 6 Desemba 2025 — Msanii nguli wa muziki wa Bongo
Flava, Afande Sele, anatarajiwa kuandika historia mpya leo baada ya kuamua
kuingia r...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment