Mkuu
wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga akiwaonyesha wananchi wa kijiji cha
Sanya Stesheni Rejesta ya wakazi kama moja ya vitendea kazi vya
wenyeviti wa vitongoji.
Mkuu
wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga akimkabidhi rejesta ya wakazi mmoja ya
wenyeviti wa kitongoji katika kijiji cha Sanya Stesheni.
Mmoja
ya wazee wa kabila la Wamaasai akimtawaza Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus
Makunga kwa miongoni mwa viongozi wa jamii hiyo maarufu kama Laigwanan
kwa kumkabidhi rungu.
Mkuu
wa wilaya ya Hai Novatus Makunga akiwasalimia wananchi wa kijiji cha
Sanya Stesheni baada ya kumkabidhi rungu kama ishara ya uongozi.
Wananchi
wa kijiji cha Sanya Stesheni katika mkutano maalumu wa kijiji chao
ulioitishwa na mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga kwa lengo la
kuwatambulisha rasmi viongozi wapya wa vitongoji na kijiji na
kuwakabidhi majukumu yao mbele ya wananchi.
Ofisa
mtendaji wa kijiji cha Sanya Stesheni,Edes Mtenga akisoma risala ya
wananchi wa kijiji cha Sanya Stesheni kwa mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus
Makunga.
kaimu
Ofisa elimu wilayani Hai,Makarios Mapunda akisisitiza kuanza kwa msako
mkali wa kudumu wa watoto wote watoro pamoja na wazazi wasiopeleka
watoto shule katika kijiji cha Sanya Stesheni.
Afisa
ustawi wa Jamii wilayani Hai Hegla Joseph akisisitiza sheria ya haki ya
mtoto ya 2009 ya kuwapeleka watoto shule katika mkutano wa kijiji cha
Sanya Stesheni.
No comments:
Post a Comment