Miundombinu : Mbunge wa Afrika Mashariki Mhe. Shy Rose Bhanji Ajitolea barabara ya Mbweni - Malindi - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

5 Feb 2015

Miundombinu : Mbunge wa Afrika Mashariki Mhe. Shy Rose Bhanji Ajitolea barabara ya Mbweni - Malindi



 Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki ambaye pia ni mkazi wa Mbweni, Shy Rose Bhanji akiwa na Mwenyuekiti wa Serikali ya Mtaa Mbweni-Malindi, jijini Dar es Salaam, Bariki wakisimamia ukarabati wa barabara yao leo.
 Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki ambaye pia ni mkazi wa Mbweni, Shy Rose Bhanji akielekeza jambo kwa mkandarasi.
Barabara ya Mbweni-Malindi inavyonekana baada ya kuanza kufanyiwa ukarabati. Picha na Mroki Mroki Father Kidevu Blog

No comments:

Post a Comment


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633