Matukio :Mez B afariki dunia asubuhi ya leo, dada na kaka yake wathibitisha - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 20 February 2015

Matukio :Mez B afariki dunia asubuhi ya leo, dada na kaka yake wathibitisha


Msanii wa Bongo fleva aliekuwa anaunda kundi la Chemba Squard, Moses a.k.a Mez B amefariki dunia asubuhi ya leo akiwa nyumbani kwao Dodoma baada ya kuugua kwa muda. kutokana na kauli ya dada yake mzazi na mdogo wake wa kiume, Mez b ameugua kwa wiki nne mfululizo, alishalazwa takribani mara nne na "kila mara alikuwa akipata nafuu na kurudi nyumbani, lakini leo hii amezidiwa ghafla na ndio akafari." amesema dada wa Mez b.

No comments:

Post a Comment