Matukio :Dk. Gharib Bilal Amfariji Jaji Mstaafu Agustino Ramadhani kwa Kufiwa na Mama yake Mzazi - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

6 Feb 2015

Matukio :Dk. Gharib Bilal Amfariji Jaji Mstaafu Agustino Ramadhani kwa Kufiwa na Mama yake Mzazi


 Maka wa Rais wa Jamhuri ya M uungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwafariji wana familia ya Jaji Mkuu mstaafu Agostino Ramadhani alipomtembelea nyumbani kwake Kimara leo, kutokana na kufiwa na mama yake mzazi.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya M uungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisaini kitabu cha kumbukukmbu kufuatia kifo cha mama mzazi wa Jaji Mkuu mstaafu Agostino Ramadhani nyumbani kwake Kimara leo, alipofika kwa ajili ya kumfariji.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akizungumza na Jaji Mkuu mstaafu Agostino  leo alipomtembelea nyumbani kwake kimara leo, kwa ajili ya kumfariji kutokana na kufiwa na mama yake mzazi.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Jaji Mkuu mstaafu Agostino Ramadhani Baada ya kumfariji kutokana na kufiwa na mama yake mzazi alipomtembelea nyumbani kwake Kimara leo.

No comments:

Post a Comment


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633