Teknolojia Bungeni : Vifaa vyenye thamani ya Dola Laki Moja vya TEHAMA Vyatolewa kwa Ofisi ya Bunge - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 22 January 2015

Teknolojia Bungeni : Vifaa vyenye thamani ya Dola Laki Moja vya TEHAMA Vyatolewa kwa Ofisi ya Bunge

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akizungumza kutoa neno la shukrani mara baara ya kupokea vifaa hivyo.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akizungumza kutoa neno la shukrani mara baara ya kupokea vifaa hivyo.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkabidhi zawadi ya picha ya Jengo la Bunge Balozi wa China hapa Nchini Mhe. Dkt. LU Youquing mara baada ya hafla ya kukabidhi vifaa vya TEHAMA.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkabidhi zawadi ya picha ya Jengo la Bunge Balozi wa China hapa Nchini Mhe. Dkt. LU Youquing mara baada ya hafla ya kukabidhi vifaa vya TEHAMA.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akipokea zawadi ya kitabu kilichoandikwa na Rais wa China kutoka kwa Balozi wa China hapa Tanzania Mhe. Dkt. LU Youquing mara baada ya hafla ya kukabidhi vifaa vya TEHAMA.
Spika na Balozi wakifurahia jambo baada ya makabidhiano hayo.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda, Balozi wa China hapa Nchini Mhe. Dkt. LU Youquing na viongozi wengine wa Bunge wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya hafla ya kukabidhi vifaa vya TEHAMA Picha na Owen Mwandumbya

No comments:

Post a Comment