| ||
Mwanahabari wa Habari leo Iringa na mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Iringa Frank Leonard akitoka kutazama Kimondo |
Mgeni akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya makumbusho ya mambo ya kale ya Kimondo Mbeya |
Wanahabari wakitoka katika Kimondo kulia na Silvanus Kigomba (ITV) na kushoto ni Irene Mwakalinga (TBC),nyuma yao ni ofisi ya makumbusho hayo |
Mhifadhi akionyesha jiko ambalo linatumika eneo hilo |
Nyumba ya wahifadhi wa makumbusho ya mambo ya kale ya Kimondo Mbeya |
Mhifadhi msaidizi wa makumbusho ya Kimondo akiingia katika nyumba yake |
Hii ndio nyumba ya mhifadhi mkuu na mhifadhi msaidizi wa Kimondo Mbeya |
Mwanahabari wa ITV Iringa Slvanus Kigomba akijipumzisha kando ya Kimondo |
Mwanahabari wa Star Tv Iringa Mawazo Malembeka kushoto akiwa na mzee wa matukiodaima katika Kimondo
Wanahabari wakimhoji mhifadhi msaidizi wa makumbusho ya mambo ya kale ya Kimondo Mbeya Bw Mussa Nsojo |
Hiki ndicho kimondo kina tani 12 |
Afisa utalii kanda ya kusini Tanapa Bi Risala kabongo akiwa katika kibao cha Kimondo |
No comments:
Post a Comment