Wanakwaya
wa kwaya ya Makuhani ya Kanisala la EAGT Makanyagio, Mpanda wakiimba
katika uzinduzi wa Album yao ya Tuiombee Afrika uliofanywa na mke wa
Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda kwenye ukumbi wa Shule ya Saint Mary's ya
Mpanda Desemba 31, 2014.
Mke wa
Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwa katika picha ya pamoja na
wanakwaya wa kwaya ya Makuhani ya Makanyagio, Mpanda wakati alipozindua
Album yao ya Tuiombee Afrika kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari ya
Saint Mary's Desemba 31, 2014.
Mke wa
Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akionyesha DVD ya Tuiombee Afrika ya
kwaya ya Makuhani ya Kanisa la EAGT la Makanyagio, Mpanda wakati
alipozindua Album hiyo kwenye ukumbi wa Saint Mary's mjini Mpanda
Desemba 31, 2014.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na walimu wa shule ya
sekondari ya Usevya wakati alipoitembeklea na kuzungumza na walimu na
wanafunzi wa shule hiyo Januari 1, 2015.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule
ya sekondari ya Usevya wakati alipoitembeklea na kuzungumza na walimu na
wanafunzi wa shule hiyo Januari 1, 2015. (Picha na ofisi ya Waziri
Mkuu)
No comments:
Post a Comment