Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akitoa hutuba yake katika Kilele cha Siku ya Mazoezi ya Viungo
Kitaifa katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipokea Cheti cha Heshima kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Zabesa
Mohamed Suleiman Zidi, katika Kilele cha Siku ya Mazoezi ya Viungo
Kitaifa katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
Waziri
wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Said Ali Mbarouk akimkabidhi
kombe la Ushindi kwa Saidi Mchande wa Zoni A ambapo imekuwa ni washindi
kwa mwaka huu katika siku ya Kilele cha Mazoezi ya Viungo Kitaifa
sherehe zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium mbele ya Mgeni
rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimakabidhi cheti Ahmed Ali Zoni A yenye maeneo ya Maisra-Ngazi mia
katika siku ya Kilele cha Mazoezi ya Viungo Kitaifa katika hafla
iliyofanyika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimakabidhi cheti Zuhura Issa Khamis wa Zoni B Mwenge kwa ushiriki wao
katika siku ya Kilele cha Mazoezi ya Viungo Kitaifa katika hafla
iliyofanyika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimakabidhi cheti Sande Kichumvi wa Kikundi cha mazoezi cha wakali
kutoka Dar es Salaam kwa ushiriki wao katika siku ya Kilele cha Mazoezi
ya Viungo Kitaifa katika hafla iliyofanyika uwanja wa Amaan Studium
Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akiongoza matembezi ya Siku ya Kilele cha Mazoezi ya Viungo
Kitaifa akiwa na Viongozi wengine yaliyoanzia katika Uwanja wa Tumbaku
hadi Uwanja wa Amaan Studium leo asubuhi ambapo yamejumuisha Vikundi
mbali mbali vya Unguja na Pemba.
Miongoni
mwa vikundi vilivyoshiriki katika matembezi ya Siku ya Kilele cha
Mazoezi ya Viungo Kitaifa ni kikundi cha KVZ Fitness Group kikiwa katika
hali ya ukakamavu na nidhamu ya juu wakipita katika barabara Kariakoo
kuelekea Komba wapya ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein aliyaongoza matembezi hayo asubuhi.
Kundi
la Mazoezi Zoni C wakiwa na bango lao linalosomeka "Siku ya Mazoezi
Kitaifa 01Jan 2015 Mazoezi ni Tiba Mbadala",kama wanavyoonekanwa wakiwa
katika matembezi ya Siku ya Kilele cha Mazoezi ya Viungo Kitaifa
yaliyoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akipunga mkono kama ishara ya kuyapokea matembezi ya Vijana
wa Vikundi vya mazoezi katika kilele cha Siku ya Mazoezi ya Viungo
Kitaifa katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja (kushoto
kwa Rais) Mwenyekiti wa Zabesa Mohamed Suleiman Zidi.
Baadhi
ya Wafanyakazi wa Vikosi vya Ulinzi wakiwa katika jukwaa wakiangalia
harakati za mazoezi yaliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium
wakati wa Siku ya KIlele cha Mazoezi ya Viungo Kitaifa akiwa mgeni rasmi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein.
Vijana
wa makundi mbali mbali wakiwa katika mazoezi ya jumla katika Kilele
cha siku ya Mazoezi ya Viungo Kitaifa hafla iliyofanyika katika Uwanja
wa Amaan Studium akiwa mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.

[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment