Matukio : Prof. Muhongo akabidhi Ofisi kwa Simbachawene, jijini Dar es Salaam - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

Saturday, 31 January 2015

Matukio : Prof. Muhongo akabidhi Ofisi kwa Simbachawene, jijini Dar es Salaam


Waziri mpya wa Nishati na Madini,George Simbachawene (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati makabidhiano ya ofisi na Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini,Profesa Sospeter Muhongo,leo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment