Matukio :Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchini za Nje Mhe. Edward Lowassa akutana na Balozi wa Marekani nchini - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 15 January 2015

Matukio :Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchini za Nje Mhe. Edward Lowassa akutana na Balozi wa Marekani nchini


Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchini za Nje na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kulia) akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania,Mh. Mark Childress walipokutana kwenye hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam leo Januari 15,2015.

No comments:

Post a Comment