Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi majengo ya
ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko jijini Paris Jumatano
jioni Januari 28, 2015. Pamoja naye ni Mama Salma Kikwete, Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe, Mbunge wa
Jimbo la Kikwajuni Mhe Hamad Msauni na Balozi wa Tanzania nchini
Ufaransa Mhe Mhe Begum Taj.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wafanyakazi wa ubalozi baada ya kufungua
rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko jijini
Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015. Pamoja naye ni Mama Salma
Kikwete, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard
Membe, Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Hamad Msauni na Balozi wa
Tanzania nchini Ufaransa Mhe Mhe Begum Taj.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na balozi wa New
Zealand nchini Ufaransa baada ya kufungua rasmi majengo ya ubalozi wa
Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko jijini Paris Jumatano jioni Januari
28, 2015. Katikati ni Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe Begum Taj.
New Zealand ndiyo iliyoiuzia Tanzania majengo hayo ambayo ni ya ghorofa
tano ya ofisi pamoja na jengo lingine la makazi ya balozi na maafisa
wa ubalozi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mwakilishi wa
ubalozi wa Uganda nchini Uraransa baada ya kufungua rasmi majengo ya
ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko jijini Paris Jumatano
jioni Januari 28, 2015. Katikati Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa
Mhe Begum Taj. Ubalozi wa Tanzania ulikuwa katika majengo ya ubaloizi
wa Uganda kabla ya New Zealand kuiuizia anzania majengo hayo ambayo
ya ghorofa tano ya ofisi pamoja na jengo lingine la makazi ya balozi
na maafisa wa ubalozi.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha wageni baada ya kufungua
rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko jijini
Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua na kuweka saini kitabu
cha wageni baada ya kufungua rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania
nchini Ufaransa yaliyoko jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015.
Katikati Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe Begum Taj. New
Zealand ndiyo iliyoiuzia Tanzania majengo hayo ambayo ya ghorofa tano
ya ofisi pamoja na jengo lingine la makazi ya balozi na maafisa wa
ubalozi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijichanganya na wageni
waalikwa ambao ni mabalozi wa nchi mba,limbali za Afrika pamoja na
wana Jumuiya ya Watanzania baada ya kufungua rasmi majengo ya ubalozi
wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko jijini Paris Jumatano jioni
Januari 28, 2015. Katikati Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe
Begum Taj. New Zealand ndiyo iliyoiuzia Tanzania majengo hayo ambayo
ya ghorofa tano ya ofisi pamoja na jengo lingine la makazi ya balozi
na maafisa wa ubalozi.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment