
MultiChoice Africa, kampuni inayoongoza katika kutoa burudani ya kulipiwa
ya dijitali pamoja na IPP Media wamesaini makubaliano yatakayoleta chaneli
maarufu zaidi Tanzania, ITV, kuwa sehemu ya jukwaa la DStv.Ushirikiano huu wa kusisimua utawapa watazamaji wa Tanzania kote nchini
fursa ya kuangalia vipindi vilivyotengenezwa hapa hapa nchini vikiwa na
ubora mkubwa kidijitali. Chaneli hii itapatikana kwenye vifurushi vyote vya
DStv ikiwemo kifurushi kilichozinduliwa hivi karibuni cha Bomba, Family,
Compact, Compact Plus na Premium. Kwa Maelezo zaidi Bofya hapa >>>
No comments:
Post a Comment