Waziri
Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na mkewe Regina wakiwa na mjukuu wao,
Angelica Freddy katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la
Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar walipohudhuria ibada ya Sikukuu ya
Krismasi .
Mke
wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, Regina (kulia) akiwasalimia
waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe,
mjini Unguja, Zanzibar walipohudhuria ibada ya Sikukuu ya Krismasi.
Waziri
Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza katika Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar
alipohudhuria ibada ya Sikukuu ya Krismasi jana. Kulia ni Mchungaji wa
Kanisa hilo, Philip Mvungi.
No comments:
Post a Comment