Matukio :Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Godbless Lema Avamiwa, Gari Lake Lavunjwa Kioo - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 13 December 2014

Matukio :Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Godbless Lema Avamiwa, Gari Lake Lavunjwa Kioo

Gari la Mbunge wa Arusha Mjini, Mhe. Godbless Lema Likiwa limevunjwa Kioo na Watu wasiojulikana ,chanzo cha habari kinadai kuwa Mbunge hajapata Madhara Yeyote.
Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Arusha Mjini Magoma Derick Magoma akihakikisha Mbunge yupo shwari pamoja na dhoruba hii. Tunaendelea Kufuatilia Habari hizi, na Tutakujuza Mapema...

No comments:

Post a Comment