Ankal akimpongeza Binti yake Zahra wakati wa hafla ya Maulid ya Kumpongeza
baada ya kulamba Nondozz yake ya kwanza ya Biashara na Uchumi katika
Chuo Kikuu cha Dodoma hivi karibuni.Hafla hii imefanyika jana Nyumbani
kwa Kaka wa Ankal,Tabata Kimanga jijini Dar es salaam.
Baba Mkubwa wa Zahra,Ismail Michuzi akiongoza dua ya kuwakumbuka ndugu waliotangulia mbele ya haki kabla ya shereha ya Maulid ya kumpongeza Binti Zahra alielamba Nondozz yake ya Biashara na Uchumi katika Chuo Kikuu cha Dodoma,hivi karibuni.Kulia ni Ankal.
Zahra akijumuika na Mashangazi zake katika Maulid hiyo
Vijana wa Madrasa wakitoa burudani kwa Qaswida mwanana kabisa.
Ankal akisikiliza Jambo kutoka kwa Kaka yake,Macheka.
Dufu zikipigwa.
Ankal akiwatunza vijana wa Madrasa.
Vijana wa Madrasa wakiimba Qaswida kwa ustadi mkubwa.
Zahra na Mama zake wadogo.
Msimamo wa Qiyam.
Shangwe zatawala.
Binti wa Ankal,Zahra Muhidin Michuzi akiwa kaketi kwenye kiti chake tayari kwa kupongeza kwa kulamba Nondozz yake hiyo.
Ankal na Dada yake,Bi. Ndonya
Zahra katika picha ya pamoja na shangazi zake,Mama Zenna na Mama Fatma.
Michuzi Famili
Zahra na Marafiki zake.
Ankal
akiwa na Wanae,Ramadhan (pili kushoto),Zahra (kulia),Karim (kushoto) na
Sellah (alie na Ankal) wakati wa hafla ya kumpoza Zahra alielamba
Nondozz yake ya kwanza katika Chuo Kikuu cha Dodoma hivi karibuni.Hafla
hii ilifanyika Tabata kwa Kaka wa Ankal ambaye ni Baba Mkubwa wa kina
Zahra.
Zahra akiwa na Wadogo zake Kulwa na Dotto ambao ni watoto wa Kaka Mkubwa wa Ankal.
No comments:
Post a Comment