Mkurugenzi
wa kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akimtunza Mwimbaji wa
muziki wa Injili kutoka nchini DRC Congo wakati akiima kwenye tamasha la
Krismasi lililofamyika kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa na
kushirikisha waimbaji mbalimbali wa muziki wa injili wakiwemo Upendo
Nkone, Upendo Kilahiro, Bony Mwaiteje, Faraja Ntaboba kutoka DRC Congo,
Solomon Mukubwa, Edson Mwasabwite Joshua Mlelwa, Ambwene Mwasongwe,
Tumaini Njole, Emmanuel Mgogo na wengine wengi, hata hivyo mvua kubwa
iliyonyesha mkoani Iringa imewafanya mashabiki wengi kutojitokeza katika
tamasha hilo, Kundi zima la wanamuziki hao limekonga nyoyo za mashabiki
mjini Iringa na linatarajiwa kuondoka kesho kuelekea Songea mkoani
Ruvuma ambapo tamasha kama hilo litafanyika Desemba 29 kwenye uwanja wa
majimaji.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-IRINGA) Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akicheza wakati mwimbaji Faraja Ntaboba akiimba kushoto ni mwimbaji Upendo Kilahiro akishiriki kucheza. Mwimbaji Edson Mwasabwite akiimba mbele ya mashabiki wake katika tamasha la Krismas kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa. Mwimbaji Edson Mwasabwite akiimba mbele ya mashabiki wake katika tamasha la Krismas kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa.
Tumaini Njole na kundi lake wakitumbuiza kwenye uwanja wa Samora mjini
Tumaini Njole akitumbuiza kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa.
Baadhi ya mashabiki wakicheza muziki wakati wa tamasha hilo. Mwibaji Upendo Kilahiro akiimba jukwaani. Mwibaji Upendo Kilahiro akiimba jukwaani. Emmanuel Mgogo akifanya vitu vyake.
Baadhi ya mashabiki wakicheza muziki wakati wa tamasha hilo. Mwibaji Upendo Kilahiro akiimba jukwaani. Mwibaji Upendo Kilahiro akiimba jukwaani. Emmanuel Mgogo akifanya vitu vyake.
Martha Mwaipaja akiimba kulia ni mwibaji Bony Mwapiteje.
Mwimbaji Joshua Mlelwa akionyesha uwezo wake jukwaani.
Alex Msama kushoto akiwa na John Melele
Waimbaji
Ambwene Mwasongwe na Solomon Mkukubwa wakiongoza waimbaji wenzao
jukwaani wakati alipokuwa wakiimba kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa.
Upendo Nkone kulia na Tumaini Njole wakicheza jukwaani.
Mwimbaji Bony Mwaitege akifanya vitu vyake jukwaani
No comments:
Post a Comment