Wanamichezo
kutoka wilaya ya Kaskazini A Unguja na Kusini Unguja wakiwa katika
uwanja wa Amaan Studium wakati wa ufungaji wa Mashindano ya Riadha
katika Wilaya kumi za Unguja na Pemba aliyoyafunga leo katika uwanja wa
Amaani Studium yaliyofungwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Bi Sharifa
Khamis (katikati) akiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Riadha Zanzibar
Abdulhakim Cosmas Chasama (kushoto) baada ya kutoa nishani kwa
wakimbiaji wa mashindano ya Riadha wakati wa ufungaji katika uwanja wa
Amaan Studiam.
Mwenyekiti
wa Chama cha Riadha Zanzibar Abdulhakim Cosmas Chasama alipokuwa
akitoa salamu za Chama Riadha mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa ufungaji wa
mashindano ya Riadha kwa Wilaya ya Kumi za Unguja na Pemba katika Uwanja
wa Amanaan Studium Mjini Unguja .
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufungaji wa Mashindano ya Riadha katika
Wilaya kumi za Unguja na Pemba aliyoyafunga katika uwanja wa Amaani
Studium.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimkabidhi zawadi Mtoto Sofia Kombo Makame aliyekimbia umbali wa
kilomita nyingi kutokana na umri wake katika mashindano ya Riadha zawadi
hiyo alipewa wakati wa ufungaji wa Mashindano ya Riadha katika Wilaya
kumi za Unguja na Pemba katika uwanja wa Amaani Studium Mjini
Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akikabidhi Kombe la Ushindi wa Jumla kwa Kassim Hussein Saleh na fedha
tasilimu Shilingi Millioni Moja akiwakilisha wilaya ya Mjini iliyopata
medali 17 za zahabu,13 fedha na 5 za Shaba katika ufungaji wa
Mashindano ya Riadha katika Wilaya kumi za Unguja na Pemba aliyoyafunga
leo katika uwanja wa Amaani Studium (kushoto) Kaimu Waziri wa
Habari,Utalii,Utamadunu na Michezo pia Waziri wa Mifugo na Uvuvi
Abdilahi Jihadi Hassan.Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment