Burudani na Biashara : Jokate Mwegelo a.k.a (Jojo, Kidoti) Apongezwa na Warembo wa Miss Temeke kwa kupata mkataba mnono wa Dola Milioni 5 - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Monday, 29 December 2014

Burudani na Biashara : Jokate Mwegelo a.k.a (Jojo, Kidoti) Apongezwa na Warembo wa Miss Temeke kwa kupata mkataba mnono wa Dola Milioni 5


Warembo walioshika nafasi za kwanza za Miss Temeke walipofanya hafla ya kumpongeza Joketi Mwegelo kwa mafanikio ya kupata mkataba mnono wa dola milion 5 hivi karibuni , baada ya kuingia mkataba kati ya Kidoti na Kampuni ya Rainbow kutoka China. Hafla ya kumpongeza ilifanyika juzi kwenye hoteli ya Kempiski Kilimanjaro hotel jijini Dar es salaam. Kutoka kushoto; Miss Temeke 2004, Cecylia Assey, Happyness Magese ' Millen' (2001), Joketi Mwegelo ( 2006) na Miss Temeke 2014, Sitti Mtemvu. Nyuma Mshindi wa tatu 2013, Edda Sylvester, mshindi wa pili 2013, Narietha Boniface na mshindi wa pili 2011, Cynthia Kimasha.

No comments:

Post a Comment