Muziki Wetu : Wimbo Mpya "EMBE DODO remix " toka kwa BEE MAN ft Wyre ,Banana Zorro, Ben Pol na Wengine - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 12 November 2014

demo-image

Muziki Wetu : Wimbo Mpya "EMBE DODO remix " toka kwa BEE MAN ft Wyre ,Banana Zorro, Ben Pol na Wengine

EMBEZ




Pata wimbo mpya wa kijana wa kitananzania Beeman akiwa ameshirikiana na
wasanii wakongwe katika muziki wa bongo flavour ikiwa ni pamoja na Steve
RnB, Banana Zorro,J Deal,Dullayo,Ben Pol,Jordan pamoja na star wa
dancehall kutoka Kenya Wyre,ngoma imetengenezwa chini ya Producer John
Blass wa  Grandmaster Records Tanzania na katika ushirikiano mkubwa toka
Lovechild Records
Sikiliza/Download ngoma mpya ya Beeman "Embe Dodo Remix" ft J Deal,
Dullayo,Jordan,Wyre,Banana Zorro,Steve RnB na Ben Pol toka produced by
John Blass hapa; https://mkito.com/song/embe-dodo-remix-beeman-ft-j-dealdullayojordanwyrebanana-zorrosteve-rnb-ben-pol/3342

Song Credits;
Song:Embe Dodo Remix
Artists: Beeman ft J Deal, Dullayo,Jordan,Wyre,Banana Zorro,Steve RnB & Ben Pol
Studio: Grandmaster Records/Lovechild Records
Producer:John Blass(John B)

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *