.jpg)
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Samwel William Shellukindo kuwa
Balozi na Msaidi wa Rais Masuala ya Diplomasia Ikulu jijini Dar es
salaam
.jpg)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe John Vianney Mongella kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Ikulu jijini Dar es salaam.
.jpg)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Halima Omary Denengo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Ikulu jijini Dar es salaam.
.jpg)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Dkt Ibrahim Hamisi Msangi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Ikulu jijini Dar es salaam

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akumuapisha na kumpa vitendea kazi Dkt Yohana
Budeba kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi ikulu
jijini Dar es salaam Novemba 6, 2014

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akumuapisha na kumpa vitendea kazi Injinia Mbogo
Futakamba kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji ikulu jijini Dar es salaam Novemba 6, 2014.


Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akumuapisha na kumpa vitendea kazi Dkt Donan
Mmbando kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Ikulu jijini
Dar es salaam Novemba 6, 2014.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akumuapisha na kumpa vitendea kazi Mhe Jack
Mugendi Zoka kuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada Ikulu jijini Dar es
salaam Novemba 6, 2014.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akumuapisha na kumpa vitendea kazi Mhe Charles
Pallangyo kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Geita Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 6, 2014.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akumuapisha na kumpa vitendea kazi Bw, Adoh
Stephen Mapunda kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Ikulu jijini Dar es
salaam Novemba 6, 2014.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakiwa
katika picha ya pamoja na Makatibu wakuu na Makatibu Tawala wa Mikoa
wapya baada ya kuwaapisha Ikulu jijini Dar es salaam.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Balozi mpya wa Tanzania Nchini Canada
Mhe. Jack Mugendi Zoka (wa pili kushoto), pamoja na mabalozi wengine
kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ambao ni
kutoka kushoto Balozi Joseph Sokoine (Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na
Amerika). Balozi Yahaya Simba (Mkurugenzi idara ya Mashariki ya Kati na
Balozi Celestine Mushi, Mkurugenzi wa Idara ya Uhusiano wa Kimataifa.
No comments:
Post a Comment