Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoka katika hospitali ya Johns Hopkins
iliyopo Baltimore Maryland baada ya kutolewa nyuzi katika mshono baada ya
kufanyiwa upasuaji wiki iliyopita.Rais Kikwete anatarajiwa kurudi tena
hospitalini hapo Jumatatu kwa ukaguzi wa maendeleo ya kidonda na ushauri
.Kulia kwake ni Daktari wa Rais Profesa Mohamed Janabi. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amepumzika kwenye hoteli maalumu
baada ya kutoka katika hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore
Maryland alikotolewa nyuzi katika mshono baada ya kufanyiwa upasuaji wa
Tezi Dume wiki iliyopita. Kwa Maelezo zaidi Bofya hapa >>>
He is a Tanzanian Journalist , Editor and blogger of Wazalendo 25 Blog which operate since 2006 ; covering International and Local News, including Politics, Sports, Athletics, Events, personalities and positive news happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English Audience.
CRDB Yasisitiza Afya na Usalama Kazini OSHA 2026
-
*Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu
akizungumza wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Wakala wa Usalama na Afya
Mah...
No comments:
Post a Comment