MATUKIO : JAMES MBATIA ATEMBELEA MAKABURI YA WAZAZI WAKE NYUMBANI KWAO KIRUA -VUNJO - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 17 October 2014

MATUKIO : JAMES MBATIA ATEMBELEA MAKABURI YA WAZAZI WAKE NYUMBANI KWAO KIRUA -VUNJO


Marehemu ,Mwalimu Francis.W,Mbatia,Baba mzazi wa Mbunge wa Kuteuliwa James Mbatia.
Marehemu ,Philomena Francis Mbatia,Mama mzazi wa Mbunge wa Kuteuliwa James Mbatia.
Makaburi ya wazazi wa Mbunge wa kuteuliwa James Mbatia yaliyoko nyumbani kwao kata ya Vunjo Mangaribi-Kirua Vunjo wilaya ya Moshi vijijini.


Mh James Mbatia akifanya sala mbele ya Makaburi ya Wazazi wake alipotembelea nyumbani kwao.
Mh James Mbatia akiwasilimulia viongozi alioambata nao mambo mbalimbali ambayo wazazi wake walipenda kumwelekeza yakiwemo maneno ambaye baadae aliamua yaandikwe juu ya makaburi hayo.
Mh Mbatia akiondoka katika eneo la Makaburi ya wazazi wake.Na Dixon Busagaga

No comments:

Post a Comment