Mbunge
wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kulia), akisaliliana na wanachama wa
Chama cha Mapinduzi (CCM) mara alipo wasili katika Ofisi ya Kata ya
Vituka Dar es Salaam .
Mbunge
wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (katikati), akikata utepe kuashiria
uzinduzi wa Ofisi ya wanachama wa (UWT) wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dar
es Salaam (kushoto ni) Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania
Kata ya Vituka Temeke Dar es Salaam na wanachama wengine .
Mbunge
wa Temeke, Abbas Mtemvu na Diwani wa Viti Maalum wa Temeke, Mariam
Mtemvu wakitia saini kwenye vitabu vya wageni katika ofisi hizo
Mtemvu akiwa na wafuasi wa CCM wakielekea kwenye mkutano wa hadhara katika Kata ya Vituka
Mtemvu akisalimiana na wananchi
Mtemvu, Mariam Mtemvu na Mwenyekiti wa UWT Kata ya Vituka, Suzana Mdete wakiwapungia mikono wananchi
Wananchi wakisikiliza kwa makini hotuba ya Mbunge wa Jimbo la Temeke, Mtemvu
Msaidizi Mkuu wa Mbunge wa Temeke, Ally Mehalla akitambulishwa kwa wananchi wakati wa mkutano huo.
Timu ya soka wakiwa katika mkkutano huo
Mtemvu akitoa zawadi kwa msanii Haassn Mapenje aliyekuwa akitumbuiza kwa sarakasi katika mkutano huo
Msanii Hassan Mkenjula akifanya mambo yake katika mkutano huo
Mbunge akimpongeza msanii Hassan Mkenjula
Mtemvu akisalimiana na mmoja wa wananchama wa CCM
Mdete akifungua mkutano huo wa hadhara
No comments:
Post a Comment