Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mama Kim Simplis Barrow, Mke
wa Waziri Mkuu wa Belize na Mjumbe Maalum wa Umoja wa Mataifa
anayeshughulikia masuala ya Wanawake na Watoto. Mama Barrow kwa
kushirikiana na Umoja wa Mataifa ndio walioandaa mkutano wa Wake wa
Marais na Wakuu wa Nchi kuzungumzia masuala ya kuwawezesha wanawake na
wasichana kifedha.na “First Ladies Global Call to Action Conference on Women and Girls’ Financial Health.” Tarehe 25 Septemba,2014.
Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama
Salma Kikwete akisalimiana na Mama Joyce Banda, Rais Mstaafu wa Malawi
muda mfupi kabla ya kuanza mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi
ulizungumzia namna ya kuwawezesha wanawake na wasichana kifedha huko New
York tarehe 25.9.2014.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa
Sera na Mipango katika Umoja wa Mataifa Bwana John Hendra. Bwana Hendra
aliwahi kuwa Mwakilishi wa UNDP nchini Tanzania wakati wa mkutano wa
kuwawezesha wanawake na wasichana kifedha uliofanyika Makao Makuu ya
Umoja wa Mataifa huko New York tarehe 25.9.2014.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika Mkutano wa kuwawezesha wanawake
na wasichana kifedha ulioandaliwa na Mke wa Waziri Mkuu wa Belize Mama
Kim Barrow akishirikiana na Umoja wa Mataifa. Kushoto kwa Mama Salma ni
Mke wa Rais wa Suriname Mama Lisbeth Venetiaan na kulia ni Balozi
wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Ndugu Tuvako Manongi.

wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake kwenye mkutano wa Wake wa
Marais na Wakuu wa Nchi za Umoja wa Mataifa uliozungumzia masuala ya
kuwawezesha wanawake na wasichana kifedha huko New York Marekani tarehe
25.9.2014.

25.9.2014. Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akipiga picha ya pamoja na Mama Joyce Banda
(kushoto) na wa kwanza kulia ni Mama Dianne Stewart, Mkurugenzi wa Idara
ya Habari na Uhusiano wa Shirika la United Nations Populations Fund
akifuatiwa na Bi Mpule Kwelagobe, Mwanzilishi na Afisa Mtendaji Mkuu wa
MPULE Institute for Indogenous Development.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
viongozi mbalimbali waliohudhuria mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa
Nchi za Umoja wa Mataifa. Kutoka kushoto ni Mama Kim Barrow, Mke wa
Waziri Mkuu wa Belize, Mama Joyce Banda na wa kwanza kushoto ni Mama
Dianne Stewart.

Dianne Stewart. PICHA ZOTE NA JOHN LUKUWI
No comments:
Post a Comment