MFUKO WA JAMII :NSSF MKOA WA TEMEKE YAWAPA SEMINA WAAJIRI WAKE KUHUSIANA NA MABORESHO YA HUDUMA WANAZOTOA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


26 Sept 2014

MFUKO WA JAMII :NSSF MKOA WA TEMEKE YAWAPA SEMINA WAAJIRI WAKE KUHUSIANA NA MABORESHO YA HUDUMA WANAZOTOA


Meneja Kiongozi wa NSSF Mkoa wa Temeke, Yahya Mhamali akizungumza wakati wa semina iliyoandaliwa na Mkoa wa NSSF Temeke kwa Waajiri wake ambayo ilihudhuriwa na Maofisa Rasirimali Watu pamoja na Wahasibu kwa ajili ya uelewa kuhusu moboresho ya formula mpya ya pensheni ambayo imetolewa na SSRA pamoja na huduma zilizoboreshwa kwa kiwango cha Kimatifa kwa NSSF Temeke (ISO). Semina hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam. Wa tatu kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori, wa kwanza ni Meneja Kiongozi Idara ya Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa NSSF, Eunice Chiume.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori, akifafanua jambo wakati wa semina iliyoandaliwa na Mkoa wa NSSF Temeke kwa Waajiri wake ambayo ilihudhuriwa na Maofisa Rasirimali Watu pamoja na Wahasibu kwa ajili ya uelewa kuhusu maboresho ya formula mpya ya pensheni iliyotolewa na SSRA pamoja na huduma zilizoboreshwa kwa kiwango cha Kimatifa kwa NSSF Temeke (ISO). Kushoto ni Meneja wa Idara za Serikali na Balozi GDE, Rehema Chuma na Meneja Mafao, James Oigo.
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo wakimsikiliza mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa semina hiyo.
 Baadhi ya Maofisa wa NSSF waliohudhuria semina hiyo.
 Washiriki wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa na Meneja Mafao wa NSSF, James Oigo.
 Meneja Mafao wa NSSF, James Oigo akitoa mada katika semina hiyo.
 Washiriki kutoka makampuni na taasisi mbalimbali Temeke wakiwa katika semina hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad