Mshindi wa taji la Redd’s Miss Tanzania Top
Model 2014, Jihan Dimachk (katikati) akipozi kwa picha na mshindi wa pili Doreen
Robert (wapili kulia), mshindi wa tatu Evelyn Baasa ambaye pia ni Miss Tanzania
Photogenic 2014 (wapili kushoto), mshindi wa nne, Lilian Timothy (kulia) na
Mshindo wa tano Nasreen Abdul, mara baada ya kushinda taji hilo jana ambapo Jihan
amekuwa mrembo wa pili kuingia katika nusu fainali za Miss Tanania 2014 baada
ya Miss Photogenic. Shindano la Miss Tanzania Top Mode lilifanyika katika ukumbi
wa Triple A jijini Arusha na kuwashirikisha warembo 30..Picha zaidi bofya /Father Kidevu Blog
MKUU WA WILAYA YA SAME AKERWA NA USIMAMIZI HAFIFU KWENYE MRADI WA UJENZI
SHULE MPYA YA AMALI, ATOA MAAGIZO KWA MKURUGENZI.
-
NA WILLIUM PAUL, SAME.
MKUU wa wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni, amefanya ziara
ya kushtukiza jana katika mradi wa ujenzi wa Shule mpya...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment