Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Juma Nkamia ambaye pia ni Mbunge wa
Kondoa Kusini ,akiongea na waandishi wa habari leo jijini Arusha
katika studio za redio 5 zenye makao yake makuu njiro ambapo alisema
kuwa hana
mpango wowote wakugombea nafasi ya Urais 2015
Baadhi
ya waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya habari wakiwa wanafanya
mahojiano na Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo Mh. Juma Nkamia leo jijini Arusha
katika studio za redio 5
Mkurugenzi
wa Radio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha Bw Robert Francis
akiwa anamsikiliza Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni
na Michezo Mh. Juma Nkamia wakati akizungumza
na waandishi wa habari kulia ni mwandishi wa chanel Ten Jamilah Omary.
Mtangazaji
wa redio 5 Mwangaza Jumanne akifanya mahojiano live na Naibu Waziri wa
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Juma
Nkamia.
Kulia
Mwanaisha Suleiman akiwa anafanya yake ndani ya studio za redio 5 mara
baada Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh.
Juma Nkamia alipofanya ziara kituoni hapo
Muonekano wa studio ya Redio 5 wakati Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Juma Nkamia akifanyiwa
mahojiano hewani na mtangazaji wa kituo hicho Mwangaza Jumanne
Meneja
masoko wa Tan
Communication media Bi.Sarah Keiya akiwa anasalimiana na Naibu Waziri
wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Juma Nkamia
Mkurugenzi wa Radio 5 Bw Robert Francis akiwa na Naibu Waziri wa Wizara
ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Juma Nkamia ofisini kwake mda mfupi kabla ya kuingia studio za redio hiyo
Katibu wa waziri Juma Nkamia Bw.Francis Songoro
Naibu
Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Juma
Nkamia akiongea na baadhi ya uongozi wa kituo hicho ambapo aliwapongeza
kwa kazi nzuri ya utangazaji katika kuburudisha na hata kuelimisha jamii
kupitia vipindi
vyao mbalimbali
Meneja mbunifu wa redio 5 Vicky Mwokoyo wakiwa wanabadilishana mawazo na mtangazaji wa kituo cha Redio 5
Ashura Mohamed
John Mhala wa gazeti la Habari leo akiwa na mwandishi mwenzake wa mwananchi Happy
Lazaro wakiwa wanabadilishana mawazo ndani ya jengo la Redio
Waandishi wa habari pamoja na mkurugenzi wa
kituo cha redio 5 Bw.Robert Francis katika picha ya pamoja
na Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh.
Juma Nkamia,kulia ni mmiliki wa mtandao wa Jamiiblog Pamela Mollel.
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Juma Nkamia ambaye pia ni , Mbunge wa
Kondoa Kusini amesema kuwa hana mpango wowote wa kugombea nafasi ya
urais 2015 kama viongozi wengine wanavyotangaza nia huku akidai kuwa
kazi yake kubwa nikuhakikisha wananchi katika jimbo lake wanapata
maendeleo kupitia nafasi yake ya ubunge.
Waziri
Nkamia aliyasema
hayo leo mara baada ya kufanya ziara fupi katika kampuni ya Tan
Communication Media inayomiliki kituo cha Redio 5 chenye makao yake
makuu jijini Arusha,ambapo alisema kuwa hajawa na ndoto ya kuwa Rais
2015.Alisema
kuwa kiongozi anayestahili kuwa rais ni lazima awe na uwezo wa kuongoza
na anayekubalika na watanzania na vigezo isiwe umri wa mtu.
''Pamoja
na umri nilionao 42 sina mpango wowote wa kugombea nafasi ya Urais 2015
na umri usiwe kigezo cha kugombea uwezo wa kiongozi ni
muhimu sana''alisema Nkamia.
Pia
Waziri huyo aliipongeza kituo hicho cha redio kwa kazi nzuri ya
kuburudisha na kuelimisha jamii kupitianvipindi vyake mbalimbali huku
akiwataka kuandaa vipindi ambavyo vitawashirikisha wachezaji wazamani
hali itakayosaidia kukuza na kuibua changamoto katika michezo(Habari
Picha Pamala Mollel)
No comments:
Post a Comment