MUZIKI WA DANSI :TWANGA PEPETA WAFANYA SHOO YA NGUVU KWENYE CLUB YA MAISHA JIJINI DAR - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 26 September 2014

demo-image

MUZIKI WA DANSI :TWANGA PEPETA WAFANYA SHOO YA NGUVU KWENYE CLUB YA MAISHA JIJINI DAR

0
1
 Kiongozi na mwimbaji  wa bendi ya 'Twanga Pepeta, Luiza Mbutu (wa pili kutoka kulia), akiwa na Kalala Junior (wa pili kutoka kushoto) pamoja na  Haji Ramadhani (wa kwanza kulia) wakitoa burudani kwa mashabiki wao kwenye shoo iliyofanyika club ya Maisha jijini Dar 
2
3
 Waimbaji wa Twanga Pepeta wakitoa burudani kwenye shoo iliyofanyika kwenye club ya Maisha jijini Dar usiku wa kuamkia leo.
4
  Kiongozi na mwimbaji  wa bendi ya 'Twanga Pepeta, Luiza Mbutu akicheza moja ya nyimbo zao kwenye shoo hiyo.
IMG_1105
IMG_1129
IMG_1136
IMG_1142
 Wacheza shoo wa Twanga Pepeta wakifanya ya kwao kwenye club ya Maisha jijini Dar.
o
Wadau wakiwa kwenye picha ya pamoja

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *