Katibu
Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Shaaban Mwinjaka ( wa tatu kutoka kulia mstari
wa kwanza) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Ubalozi wa Uholanzi, wawakilishi
kutoka bandari ya Rotterdam ya uholanzi pamoja na wawakilishi kutoka kampuni ya
BAM ya uholanzi aliokutana leo mchana ofisini kwake kujadiliana kuhusu kuwekeza
katika bandari ya Mtwara kwa mkopo wa bei nafuu. Kulia kwa Dk. Mwinjaka ni
Balozi wa Uholanzi Nchini, Mr. Jaap FREDERICKS.
(Picha
na kitengo cha mawasiliano Serikalini-Uchukuzi)
No comments:
Post a Comment