Katibu
Tawala wa Mkoa wa Tanga,Bw. Salum Chima akizungumza wakati akifungua
semina ya Mfuko wa Pensheni wa PPF kwa maafisa wa makampuni mbalimbali
katika (Kanda ya Kinondoni) mkoani Tanga.
Meneja
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF kanda ya Kinondoni (inayojumuisha wilaya za
Kibaha,Bagamoyo na mkoa wa Tanga),Bi. Zahra Kayugwa akizungumza na
washiriki wa semina ya Mfuko wa PPF kwa maafisa wa makampuni mbalimbali
katika (Kanda ya Kinondoni) mkoa wa Tanga.
Maafisa
kutoka makampuni mbalimbali katika (kanda ya Kinondoni )mkoa wa Tanga
wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa.
wafanyakazi
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakiwa kwenye picha ya pamoja wakiangalia
taarifa kwenye simu ya Meneja wa PPF kanda ya Kinondoni,Mkoa wa Pwani
inayojumuisha wilaya ya Kibaha na bagamoyo) na mkoa wa Tanga,Zahra
kayugwa leo kabla ya kuanza semina ya mfuko wa pensheni wa PPF kwa
maafisa wa makampuni mbalimbali katika(Kanda ya Kinondoni)mkoa wa Tanga.
washiriki
wa semina hiyo wakiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa mfuko wa
Pensheni wa PPF baada ya kufunguliwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa
Tanga,Salum Chima (aliyekaa katikati mwenye koti jeusi).Picha na Oscar
Assenga,Tanga.
No comments:
Post a Comment