MUZIKI WETU : DIAMOND PLATNUMZ APATA SHAVU KWENYE KAMPUNI YA "MZIIKI" - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


25 Sep 2014

MUZIKI WETU : DIAMOND PLATNUMZ APATA SHAVU KWENYE KAMPUNI YA "MZIIKI"


Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platinumz akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza ushirikiano wake na kampuni inayoendesha programu ya Mziiki.Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Spice VAS Africa wanaoendesha programu hiyo ya Mziiki,Arun Nagar na kushoto ni Meneja wa Diamond Platinumz,Babu Talle.

Post Top Ad