MATUKIO CCM:NAPE ATOA DARASA KWA VIONGOZI WA CCM UINGEREZA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 8 September 2014

demo-image

MATUKIO CCM:NAPE ATOA DARASA KWA VIONGOZI WA CCM UINGEREZA

5
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa mashina ya CCM nchini Uingereza .
7
  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa mashina ya CCM London nchini Uingereza mara baada ya kutoa somo linalohusu Wajibu wa Matawi ya nje ya CCM katika ukumbi wa kituo cha mafunzo Barking,London ya mashariki.
8
Katibu wa NEC Itikadi na Unezi Nape Nnauye akijibu  maswali mbalimbali kutoka kwa mwandishi maarufu nchini Uingereza Ayoub Mzee mara baada ya kumaliza kutoa semina kwa viongozi wa mashina ya CCM nchini Uingereza.
4
 Viongozi wa mashina wakisikiliza kwa makini
3
 Viongozi wa mashina ya CCM nchini Uingereza wakiandika pointi muhimu.

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *