Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye miwani)
akimkabidhi zawadi ya mwamvuli unaotangaza vivutio vya Utalii Tanzania
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya DELANOUT ya Ubelgiji Bwana. Jackson Delanout.
Balozi Kamala yuko kwenye ziara ya kuhamasisha makampuni ya Ubelgiji
kushiriki kwenye ziara ya biashara ya makampuni ya Ubelgiji itakayofanyika
Tanzania, Novemba mwaka huu.
He is a Tanzanian Journalist , Editor and blogger of Wazalendo 25 Blog which operate since 2006 ; covering International and Local News, including Politics, Sports, Athletics, Events, personalities and positive news happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English Audience.
No comments:
Post a Comment