Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata
utepe kama ishala ya kuzindua rasmi mpango wa Utambuzi wa ujuzi uliopatikana
nje ya mfumo rasmi wa mafunzo, kwa ajili ya kutathimini na kutambua ujuzi na
elimu ua ufundi Stadi kwa Vijana waliojifunza fani mbalimbali, wakati wa hafla
hiyo iliyofanyika Septemba 19, 2014 kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach, jijini
Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Kazi, na Ajira, Gaudensia Kabaka (kushoto) ni
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Dkt. Shukuru Kawambwa.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia
wakati wa kuzindua rasmi mpango wa Utambuzi wa ujuzi uliopatikana nje ya mfumo
rasmi wa mafunzo, kwa ajili ya kutathimini na kutambua ujuzi na elimu ua ufundi
Stadi kwa Vijana waliojifunza fani mbalimbali, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika Septemba 19, 2014 kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach, jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya wahitimu wa Mafunzo hayo kutoka Chuo cha VETA, wakisubiri kutunikiwa vyeti
na mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, wakati wa hafla ya uzinduzi wa mpango wa Utambuzi wa ujuzi
uliopatikana nje ya mfumo rasmi wa mafunzo. Hafla
hiyo ilifanyika Septemba 19, 2014 kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach, jijini
Dar es Salaam.
Baadhi washiriki katika hafla hiyo ya uzinduzi
wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia.
Baadhi washiriki katika hafla hiyo ya uzinduzi
wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, mmoja kati ya wahitimu 30, wa
mafunzo hayo, Mwajuma Massoud, wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa mpango wa Utambuzi
wa ujuzi uliopatikana nje ya mfumo rasmi wa mafunzo, kwa ajili ya kutathimini
na kutambua ujuzi na elimu ua ufundi Stadi kwa Vijana waliojifunza fani
mbalimbali Hafla hiyo ilifanyika Septemba 19, 2014 kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, mmoja kati ya wahitimu 30, wa
mafunzo hayo, Charles Gwambassa, wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa mpango wa
Utambuzi wa ujuzi uliopatikana nje ya mfumo rasmi wa mafunzo, kwa ajili ya
kutathimini na kutambua ujuzi na elimu ua ufundi Stadi kwa Vijana waliojifunza
fani mbalimbali. Hafla hiyo ilifanyika Septemba 19, 2014 kwenye Hoteli ya
Kunduchi Beach, jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment