Mbunge wa Tabora Mjini (CCM) Ismail Aden Rage, ambaye pia ni mjumbe wa
Bunge Maalum la Katiba, akiwa amelazwa kwenye hospitali ya Rufaa, Dodoma,
Jumatatu Agosti 4, 2014. Rage alipata ajali eneo la Chigongwe, nje kidogo
ya Manispaa ya Dodoma, wakati akielekea mjini humo tayari kushiriki vikao
vya Bunge Maalum vinavyoanza Jumanne Agosti 5, 2014.
Mbunge wa Sikonge mkoani Tabora kupitia CCM, ambaye pia ni Mujumbe wa Bunge
Maalum la Katiba, Said Nkumba, alikwenda kumjulia hali Rage, hospitalini mjini
Dodoma, Jumatatu Agosti 4, 2014.Picha kwa hisani ya K-vis Blog
He is a Tanzanian Journalist , Editor and blogger of Wazalendo 25 Blog which operate since 2006 ; covering International and Local News, including Politics, Sports, Athletics, Events, personalities and positive news happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English Audience.
BALOZI LUHEMEJA AKABIDHI OFISI
-
*Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Richard
Muyungi (Kulia) akipokea nyaraka mara baada ya kukabidhiwa ofisi
na aliyekuwa K...
No comments:
Post a Comment