MATUKIO :BALOZI WA UJERUMANI NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE D’SALAAM - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 5 August 2014

MATUKIO :BALOZI WA UJERUMANI NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE D’SALAAM

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimsikiliza Balozi wa Ujerumani nchini, Egon Kochanke alipokuwa akimfafanulia jambo wakati Balozi huyo na Naibu wake walipomtembelea Waziri huyo ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Ujerumani na Tanzania.

No comments:

Post a Comment