Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais Jackob Zuma wa Afrika
ya Kusini pamoja na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo
(DRC) wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais Robert Mugabe wa
Zimbabwe kwa ajili ya viongozi wa SADC wanaohudhuria mkutano wa 34 wa wakuu
wa nchi za SADC unaofanyika katika mji wa Victoria Falls nchini
Zimbabwe.Picha na Freddy Maro
He is a Tanzanian Journalist , Editor and blogger of Wazalendo 25 Blog which operate since 2006 ; covering International and Local News, including Politics, Sports, Athletics, Events, personalities and positive news happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English Audience.
No comments:
Post a Comment