
Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Malabo

Mkeka wa uhakika

Barabara na vivuko vya watu vya kisasa

Katikati ya jiji la Malabo

Makampuni makubwa ya ujenzi ya kimataifa yapo Malabo

Majengo ya kisasa

Barabara za kileo

Uswazi si kubaya sana

Miti na maua kila mahali

Majengo ya kupendeza

Fleti kibao za wananchi na miundombinu bomba

Fleti zaidi

Kampuni kibao za Kichina zipo Malabo

Vikwangua anga vya uhakika

Ulinzi kila kona

Mjengo mpya

Jengo la Wizara ya habari

Vikwangua anga kibao vinamea kila mahali

Miundo mbinu ya Malabo si mchezo

Wakiwezeshwa, kinamama wanaweza: Trafiki wa Malabo kinamama

Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Sipopo

Nje ya ukumbi wa Sipopo

Ndani ya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Sipopo. Picha Zaidi Bofya Hapa Michuzi Blog
No comments:
Post a Comment