ULINZI : RPC -ARUSHA AONGEA NA WAENDESHA BODA BODA ILI KUSAIDIA ULIZINZI SHIRIKISHI - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


30 Jun 2014

ULINZI : RPC -ARUSHA AONGEA NA WAENDESHA BODA BODA ILI KUSAIDIA ULIZINZI SHIRIKISHI


20140630_103112
Baadhi ya waendesha pikipiki za kubeba abiria Jijini Arusha maarufu kama bodaboda wakiwa katika kikao cha dharura na RPC Sabas katika mjadala uliofanyika Ofisi ya Kata ya Ololrieni ukilenga kuomba ushirikiano wa maswala ya usalama baina ya waendeshaji hao ili kufanikisha ushirikiano baina ya Jeshi la Polisi na wananchi wema katika kuzuia uhalifu Jijini Arusha kupitia mradi wa Ulinzi Shirikishi.20140630_104917

20140630_104751
Baada ya kikao waokiondoka kurejea vituoni kwao. Na Arusha 255 Blog

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad