Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein
akizungumza na wafanyakazi wa Wizara zilizo chini ya Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi baada ya kulanao pamoja chakula katika
fahla ya kuwapongeza wafanyakazi hao baada ya kupitishwa bajeti za Wizara hizo katika kikao cha Baraza la Wawakilishi kinachoendelea ,hafla hiyo ilifanyika leo viwanja vya Ikulu,(wapili kulia)Makamo
wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi,akifuatiwa na Waziri wa Nchi Ofisi
ya Rais Tawala za Mikoa na Idara maalum za SMZ Haji Omar Kheri
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein
(wa pili kushoto) Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi,(kushoto)
Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abulhamid Yahya Mzee,(kulia) na Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala BoraDkt.Mwinyihaji Makame Mwadini
(wapili kulia) wakiwapongeza
wafanyakazi mbali mbali wa Wizara zilizo chini ya Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika hafla ya chakula iliyofanyika
baada ya kupitishwa bajeti za Wizara hizo katika kikao cha Baraza la
Wawakilishi. Hafla hiyo ilifanyika viwanja vya Ikulu, Zanzibar
Baadhi ya Viongozi wa Wizara mbali mbali zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wakiwa katika hafla
ya chakula iliyofanyika baada ya kupitishwa bajeti za Wizara hizo
katika kikao cha Baraza la Wawakilishi kinachoendelea. Hafla hiyo
ilifanyika viwanja vya Ikulu
Baadhi ya watendaji na washauri wa Ofisi ya Rais Ikulu wakiwa katika hafla
ya chakula iliyofanyika baada ya kupitishwa bajeti za Wizara zilizo
chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika kikao
cha Baraza la Wawakilishi kinachoendelea.
Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
No comments:
Post a Comment