Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel
akifurahia jambo na Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Maafisa Mawasiliano
Serikalini (TAGCO) Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Chama hicho Bw. Innocent Mungy,
Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Sylvia Lupembe na Katibu Mwenezi wa Chama
hicho Bw. Abel Ngapemba.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Bi. Sihaba Nkinga akiongea na Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali wakati
wa Semina ya Mafunzo iliyoandaliwa na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini
(TAGCO) Leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Hiyo
Prof. Elisante Ole Gabriel na Kulia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Bw. Innocent
Mungy.
Katibu
Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiteta
jambo na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel wakati wa
Semina ya Mafunzo iliyoandaliwa na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini
(TAGCO) Leo Jijini Dar es Salaam.
Makamu
Mwenyekiti wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) Sylvia Lupembe akitoa
neno la shukrani kwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Bi. Sihaba Nkinga, wakati wa Semina ya Mafunzo iliyoandaliwa na Chama cha
Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) Leo Jijini Dar es Salaam.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante
Ole Gabriel akiwasilisha mada kuhusu
huduma kwa mteja kwa Maafisa Habari na Mawasiliano wakati wa Semina ya Mafunzo
iliyoandaliwa na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) Leo Jijini
Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment