Inatisha Sana : AJIUA BAADA YA KUSABABISHA AJALI , SEKEI -JIJINI ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 9 June 2014

Inatisha Sana : AJIUA BAADA YA KUSABABISHA AJALI , SEKEI -JIJINI ARUSHA

Jamaa mmoja ajiua kwa bastola baada ya kusababisha Ajali ya kugonga Boda Boda maeneo ya Manchester Sekei, jijini Arusha.
Polisi wanaendelea na uchunguzi Wa tukio hilo.
Tutaendelea kukuletea habari zaidi...

No comments:

Post a Comment