BONANZA LA WAANDISHI WA HABARI -ARUSHA : AJTC YANYAKUA KOMBE KWA UPANDE WA MPIRA WA MIGUU NA MPIRA WA PETE MCHEZO ULIOFANYIKA JIJINI-ARUSHA. - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


30 Jun 2014

BONANZA LA WAANDISHI WA HABARI -ARUSHA : AJTC YANYAKUA KOMBE KWA UPANDE WA MPIRA WA MIGUU NA MPIRA WA PETE MCHEZO ULIOFANYIKA JIJINI-ARUSHA.

 Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa habari za michezo nchini(Taswa) Juma Pinto (kushoto) akikabidhi kikombe kwa nahodha wa timu ya Mpira wa Miguu wa chuo cha waandishi wa Habari na Utangazaji Arusha (AJTC) huku (kushoto) Mwenyekiti wa kudumu wa Taswa mkoa wa Arusha,Jamila Omary aka "Dangote" akishuhudia kwa karibu; Bonanza la vyombo vya Habari lililofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. Picha Zote Na Gadiola Emanuel Wa Wazalendo 25 Blog
 Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa habari za michezo nchini(Taswa)Juma Pinto(kushoto) akikabidhi zawadi nyingine toka TBL  kwa nahodha wa timu ya chuo cha waandishi wa habari Arusha (AJTC).
 Mwakilishi toka TBL akikabidhi kikombe na Zawadi kwa nahodha wa timu ya Mpira wa Pete wa chuo cha waandishi wa habari Arusha (AJTC) katika Bonanza la Waandishi wa Habari, Jijini Arusha.
 Meneja Mauzo wa Kampuni ya Mega Trade Bw. Goodluck Kway akikabidhi Zawadi ya Pesa Taslimu kwa mshindi wa Pili , katika Bonanza la Waandishi wa Habari, Jijini Arusha.
Mashabiki wa Timu ya Chuo cha Waandishi wa Habari Arusha (AJTC) wakifurahia Ushindi wao, katika Bonanza la Waandishi wa Habari, Jijini Arusha.
Wachezaji na Mashabiki wa Timu ya Chuo cha Waandishi wa Habari Arusha (AJTC) wakifurahia Ushindi wao, katika Bonanza la Waandishi wa Habari, Jijini Arusha.
 Mwakilishi toka TBL akikabidhi kikombe kwa nahodha wa timu ya Mpira wa Pete wa chuo cha waandishi wa habari Arusha (AJTC) katika Bonanza la Waandishi wa Habari, Jijini Arusha.
Wanachuo cha Waandishi wa Habari na Utangazaji Arusha (AJTC) wakifurahia Ushindi wao, katika Bonanza la Waandishi wa Habari, Jijini Arusha.
Wadau wakuu wa habari kutoka kushoto ni Sele "the Engineer" , Bertha Mollel , Seria Tumainiel na Victor Machota ,katika Bonanza la Waandishi wa Habari, Jijini Arusha.
Meneja Mauzo wa kampuni ya Mega Trade Investment yenye kinywaji chake cha "K- Vant" Bw. Goodluck Kway na Mkurugenzi wa Wazalendo 25 Blog ,katika Bonanza la Waandishi wa Habari, Jijini Arusha.
Wanahabari, Doto (Chanel Ten) ,Deo Kasamia (ITV/Radio One), Pamella Mollel wa Jamii Blog na Majira,katika Bonanza la Waandishi wa Habari, Jijini Arusha.
Kushoto ni Doto (Chanel Ten) akiwa na Mwenyekiti wa kudumu wa Taswa kwa mkoa wa Arusha, Bi. Jamilla Omary, katika Bonanza la Waandishi wa Habari, Jijini Arusha.

Wapiga picha wanapo pigwa picha na Mpiga Picha ; Pamela Mollel na Filbert Rweyemamu
wadau wakuu kutoka Chuo cha waandishi wa Habari na Utangazaji (AJTC) wakiwa uwanjani
Kutoka kulia ni Flbert Rweyemamu (Mwananchi), Bw. Elifuraha Samboto (Mkufunzi-AJTC)
Elifuraha Samboto na Filbert Rweyemamu, katika Bonanza la Waandishi wa Habari, Jijini Arusha.
Wanachuo cha Waandishi wa Habari na Utangazaji Arusha (AJTC) wakifurahia Ushindi wao, katika Bonanza la Waandishi wa Habari, Jijini Arusha. Picha Zote na Gadiola Emanuel wa Wazalendo 25 Blog

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad